Kwa mechi hiyo waliyofungwa 3-1 na ambayo Novatus alicheza kwa dakika zote 90 kumemfanya Novatus kuwa Mchezaji wa tatu katika historia ya Tanzania kuwahi kucheza michuano ya UEFA Champions.
Watanzania wengine waliowahi kucheza michuano hii ni Mbwana Samatta akiwa kama Mtanzania wa pili na Kassim Manara ambaye ndio Mtanzania wa kwanza kucheza michuano hii. #MillardAyoSPORTS
0 Comments