Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MANENO YA HAJI MANARA BAADA YA YANGA KUTINGA NUSU FAINALI YA CAF


Alhamdulillah Alhamdulillah 🙏🏻🙏🏻

Kubwa sana hii kwetu, hatimae imekuwa na Inshaallah tutafanya vzuri sana katika Group Stage.

Ingekuwa maajabu kama sio Miujiza,, Msimu uliopita tufike fainali ya CAF kisha msimu huu tushindwe kwenda Makundi!!

Mmetuheshimisha sana Wachezaji wetu na hatuna la kusema zaidi ya ASANTE 👏🏻👏🏻

Mmenipa Mood na acha nichati na kichenchede changu Mange wa kimambi ( mlevi wa taifa)

 

Post a Comment

0 Comments