Hot Posts

6/recent/ticker-posts

KWA YANGA HII SIMBA WAJITAFAKARI KWENYE LIGI YAVMABINGWA AFRIKA

 

🗣️ Mafanikio ya Yanga msimu uliopita kuanzia mashindano ya Ndani mapka kwenye kombe la shirikisho barani Africa, Huenda ikapelekea hamasa kubwa kwa wachezaji kupambania timu na kuongezewa nguvu na uongozi wa klabu


🗣️Mabadiliko ya timu ya Yanga msimu huu chini ya kocha Gamond yanaweza kuifikisha Yanga mbali katika kombe la klabu bingwa barani Africa, msimu uliopita timu ilikuwa inategemea sana nguvu ya Mayele katika kufunga, Lakini msimu Yanga katika eneo la ushambuliaji kila mshambuliaji ameonekana kuingia mfumo wa kocha Gamod ndio mana timu inaweza kufunga mabao mengi kwenye mechi


🗣️Kocha Robertinho bado ameshindwa kuinganisha klabu ya Simba kwa wachezaji wapya na waliokuwepo msimu uliopita, Ndiyo mana timu inashindwa kucheza kwenye ubora wa kitimu zaidi na kushindwa kufikia ubora ulioonekana msimu uliopita, Hii inaweza ikapelekea klabu ya Simba isifikie malengo ya kufanya vizuri katika klabu bingwa Africa



Post a Comment

0 Comments