#ManchesterUnited inahitaji Winga wa Kulia baada ya #Antony kutakiwa kuwa nje kwa muda kushughulikia tuhuma zinazomkabili wakati #JadonSancho hatma yake haijulikani baada ya kutofatiana na Kocha wake, Erik ten Hag
-
El Ghazi (28) ni Mchezaji Huru baada ya kuondoka PSV Eindhoven ya Uholanzi, wiki iliyopita kwa makubaliano maalum na klabu hiyo, inadaiwa anawaniwa na Klabu za Saudi Arabia
-
Aidha, El Ghazi ambaye pia ni Mchezaji wa Zamani wa #Ajax, #AstonVilla na #Everton, alikuwepo jukwaani wakati United ikipoteza dhidi ya #Arsenal, wiki mbili zilizopita
-
0 Comments