.
Kocha wao: Halooo …. Nani mwenzangu?
.
Gamondi: Naitwa Gamondi master wa Tikitaka A.k.a mtaalamu wa 5G.
.
Kocha wao: Ehe unasemaje?
.
Gamondi: Leo tumeanza mazoezi ya Beach, nawaandalia 5G hapo Rwanda.
.
Kocha wao: We jichanganye tu.
.
Gamondi: Nawaambia mapema, anzeni mazoezi msije kunilaumu.
.
Kocha wao: msitutishe bwana.
.
Gamondi: Siwatishi ila dozi ya 5G itamfikia kila mgonjwa mwenye gubu kama lako.
.
Kocha wao: Nani anagubu?… tuheshimiane.
.
Gamondi: Nasseemaje… utajua hujui .. nakupiga nje ndani.
.
Kocha wao: (kakata simu)
.
Gamondi: Haloooo… haloooo… Kuku waheed
0 Comments