Hot Posts

6/recent/ticker-posts

KAPOMBE NA ZIMBWE HAWAJUI MAJUKUMU YAO - GEOF LEA



"Kapombe, Zimbwe huwa hawapati changamoto kutoka kwenye timu za ligi kuu ukitoa Yanga na Azam ndio maana unaona watu wanashangaa baada ya kunyanyaswa, huenda hata Joshua Mulenga kule Zambia ni mchezaji wa kawaida tu lakini kwa kuwa kamtesa Kapombe watu wanashangaa"

"Kapombe na Zimbwe walipata test kwenye mechi za Yanga na Azam, Aziz Ki alimfanya vibaya Zimbwe na ile mechi ya Mtibwa.. Mara nyingi timu zingine huja kupaki basi haziwapi challenge ndio maana huwa wanapanda Kushambulia watu hawayaoni makosa"

Geof Leah via Sports HQ Efm radio

 

Post a Comment

0 Comments