Mnayakwepa maamuzi yenu ya nyuma kwa kisingizio cha Uongozi wa zamani wakati karibia wote mlikuwepo hapo ili iwe nini ?
Tunaomjua Dr Ndumbaro Hana kisasi ni msomi na mweledi na haina haja ya kuogopa lolote,Yupo hapo kama Waziri na Sio Mlipa Visasi!!
By the way hana la kuwafanya coz nyie ndio kila kitu hapo, Sikuona hoja na haja ya hii taarifa ya uoga, na eleweni kitu kiitwacho Collective Responsibility ambacho ni principal katika utawala!!
Muhimu kukumbuka kila wakati, Tusilewe na madaraka na kudhani tunapokuwa nayo itakuwa ni milele, madaraka ni kama nguo tu, ipo siku lazma tuyavue na wenzetu wayavae.
Kila la kheri Shirikisho langu pendwa na Insha'Allah mtimize malengo yenu bila kuwa na ‘ UOGA’ wa hizi Press zenu 🙏🏻🙏🏻
Nb;; Tusisahau na kuweka akiba,, Dunia Duara hii
0 Comments