Hot Posts

6/recent/ticker-posts

KUMBE KAGAME NI SHABIKI WA YANGA KITAMBO SANA SOMA HII👇👇

Wanachiiii Rwanda ni Second Home yani kwa maana nyingine yanga watacheza mechi zote 2 nyumbani Dar es salaam na Kigali


Kama unakumbuka mwaka 2012 timu ya YANGA ilialikwa Ikulu na Rais Kagame ambaye alikiri yeye ni shabiki wa Yanga aliyewaalika Yanga ikulu kuwapongeza baada ya kutwaa ubingwa wa KAGAME


Kagame aliijua na kuipenda Yanga tangu anasoma hapa Tanzania mambo ya Ujasusi siku moja ntakupa kisa kizima 


Ukirudii nyuma wakati timu hii inaanzishwa lengo kuu ilikuwa ni harakati za kuikomboa nchi,kuunganisha vijana wa AFRIKA na hatimaye ukombozi 


Baadhi ya Marais ambao ni mashabiki wa yanga ni Hayati Mwalimu Nyerere,Hayati Mkapa, Rais mstaafu Kikwete na Rais wa Rwanda Pol Kagame
 

Post a Comment

0 Comments