Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Athman Masumbuko ‘Makambo’ NDANI YA MASHUJAA FC YA KIGOMA


Straika wa Mashujaa FC, Athman Masumbuko ‘Makambo’ amerejea akitokea Denmark 🇩🇰 alikoenda kufanya majaribio huku akiambiwa asubiri atapewa majibu kama amefaulu ama hajafaulu.

.

Straika huyo aliyesajiliwa akitokea Mtibwa Sugar amejiunga na kikosi chake na sasa amefanya mazoezi siku ya tatu. Akizungumza na ARENA express, Makambo alisema kwa mwezi mzima aliokaa nchini humo alikutana na changamoto kubwa ikiwepo wingi wa wachezaji waliokuwa wanafaya majaribio kwenye timu hiyo wakiwa 29 kutoka mataifa tofauti na wanaotakiwa ni wawili.



Post a Comment

0 Comments