Hot Posts

6/recent/ticker-posts

USAJILI WA MAN CITY MSIMU HUU NA WACHEZAJI WALIOACHWA


 Wakati dirisha la usajili Barani Ulaya likitaraji kufungwa Ijumaa ya wiki hii ,hawa ni baadhi ya nyota walioingia na kutoka ndani ya Man City na dau la uhamisho wao 


Walioingia ni 

Josko Gvardiol (£77m, RB Leipzig)

Jérémy Doku (£55.5m, Rennes)

Mateo Kovacic (£25m, Chelsea)


Waliotoka ni 

Riyad Mahrez (£30m, Al Ahli)

Aymeric Laporte (£23.6m, Al Nassr), Shea Charles (£15m, Southampton), James Trafford (£14m, Burnley)

Carlos Borges (£12m, Ajax)

Yangel Herrera (£4.3m, Girona)

Issa Kaboré (loan, Luton)

Filip Stevanovic (loan, RKC Waalwijk), Máximo Perrone (loan, Las Palmas)

Liam Delap (loan, Hull)

Callum Doyle (loan, Preston)

Ilkay Gündogan (free, Barcelona), Benjamin Mendy (free, Lorient)


Maana yake Man City imetoa wachezaji wengi zaidi (13 ) tofauti na walioingia (3) 


Kwa mujibu wa ripoti za Wachambuzi wengi wanaona bado ipo haja ya Manchester Citu kufanya usajili wa central midfielder ambaye atachukua nafasi ya Kevin De Bruyne.


Kwa upande wa Gundogan, Laporte and Mahrez have been hawa nafasi zao zimezibwa na  Kovacic, Gvardiol and Doku, hadi sasa jina linalotajwa sana ni la Kiungo Lucas Paquetá (£47m)

Post a Comment

0 Comments