Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MLINZI WA LIONEL MESSI HADI UWANJANI ANAINGIA

 Wakati wa mechi za Inter Miami, Lionel Messi akiwa chini ya uangalizi mkuu wa mwanajeshi wa zamani wa Jeshi la US-navy kwa usalama wa hali ya juu Ili asiweze kudhurika 


Mlinzi huyo pia inasemekana kuwa mtaalamu wa karate, bondia na mtaalamu wa taekwondo. Kinachonifuraisha mara nyingi anaweza kuonekana hata akimfuata Messi wakati wa mechi kama mshika kibendera bana 😂


Mawazo yangu naona Messi ameamua kufanya hivyo kutokana na matukio ya kupigwa risasi kiholela kwa watu katika Taifa la Marekani kwa hiyo kaamua kujiimarishia ulinzi.


🖊️ @alexander_aloyce


_minja

Post a Comment

0 Comments