Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MANCHESTER UNITED KUNUNULIWA NA MMILIKI MPYA SHEIKH JASSIM

 


MICHEZO Trilionea kutoka nchini Saudi Arabia, Sheikh Jassim Hamad anajiandaa kuinunua klabu ya Manchester United kwa paundi bilioni 6 za Uingereza ambazo ni sawa na trilioni 19 na zaidi ya bilioni 121.


Mchakato huo unaripotiwa kuwa unataraji kumalizika hadi kufikia katikati ya mwezi Oktoba mwaka 2023 huku wawakilishi wa trilionea huyo wakiwa nchini Uingereza Jumatano ya Leo Agosti 23, 2023 kuendelea na hatua za awali za kukamilisha mchakato huo

Post a Comment

0 Comments