Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Je, Msimu huu YANGA Watamaliza na Pointi ngapi?!

 


Katika Pointi 90 ambazo timu inaweza kuzipata kwenye mechi 30 za msimu wa NBC Premier League,Yanga msimu uliopita 2022/23 ilipoteza Pointi 12, na kupata pointi 78 na kushinda Ubingwa. 

✅Walishinda mechi 25

🤝Sare mechi 3

❌Walipoteza mechi 2


Katika msimu wa 2021/22 Yanga ilipoteza Pointi 16, na kupata Pointi 74 na kuchukua Ubingwa

✅Walishinda Mechi 22

🤝Sare Mechi 8

❌Walipoteza Mechi 0


▪️Msimu wa 2021/22 walimaliza na Pointi 74

▪️Msimu wa 2022/23 walimaliza na Pointi 78


Je, Msimu huu watamaliza na Pointi ngapi?!



Post a Comment

0 Comments