Hot Posts

6/recent/ticker-posts

KOCHA JULIO KIHWELO ACHAMBUA VIBAYA AZAM


 WACHEZAJI WANAOSAJILIWA AZAM NI KAMA HAWAJITAMBUI - JULIO


“ Wachezaji wanaosajiliwa (Azam FC) ni kama hawajitambui na wamekuwa wakiridhikia na pesa nyingi wanazolipwa kwa vile hawana presha wanayopewa kuwafanya wapambane, ”


“ Kwa wanavyocheza uwanjani ukiitazama na Yanga iliyoweka kambi Avic Town Dar es Salaam na Azam iliyotumia pesa nyingi kwenda Tunisia utaona vitu viwili tofauti, ”


“ Yaani Yanga utasema wao ndio walikuwa nje ya nchi kutokana na ubora wa soka wanalocheza kumbe hapana, ila hawa waliosafiri kambi ya wiki mbili, lakini wanapoteza muda mwingi njiani kwenye safari ni lazima wabadilike. ”


Jamhuri kihwelu (Julio) - kocha

Post a Comment

0 Comments