Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MTIBWA BADO INAJITAFUTA IMECHAPWA NA SINGIDA GOLI MOJA



Mtibwa Sugar imepoteza mchezo wa Ligi Kuu nyumbani baada ya kufungwa 1-0 na Singida Fountain Gate FC, ni kama Mtibwa bado haijajipata hivi kwa sababu bado haijapata ushindi katika michezo minne iliyopita ya Ligi Kuu.

Licha ya ushindi ilioupata Singida Fountain Gate FC leo mbele ya Mtibwa Sugar, lakini wamehenya sana!

FT| MTIBWA SUGAR 0-1 SINGIDA FOUNTAIN GATE
⚽️ Elvis Rupia 43’

 

Post a Comment

0 Comments