Kuna funzo ndani ya hizi picha, siyo tu mayelefiston kupiga Picha na Rais wa Young Africans Eng. Hersi uchukulie poa, hapo inaletwa somo la kwamba ukiishi sehemu ondoka kwa amani ili kesho na kesho kutwa kurudi iwe rahisi na hata usiufunge mlango wako
MAYELE pamoja na kuondoka Yanga SC lakini anahitaji Kuendelea kudumisha undugu wao, na hii itafungua milango zaidi kwa Wachezaji kutoka DR Congo kuja kucheza hapo Yanga, klabu itakuwa na moyo kunjufu lakini pia Wachezaji nao itakuwa rahisi na wao kushawishika kuja
Good picture tumevutiwa nayo kiukweli 🙏
0 Comments