Hot Posts

6/recent/ticker-posts

MAMBO 5 MUHIMU KUHUSU ELVIS RUPIA "MACHAPO


1. Ni mchezaji wetu wa mwisho kumsajili kwenye dirisha kubwa la usajili msimu huu.


2. Ana kibali cha kucheza michuano yote tunayoshiriki msimu huu ikiwemo michuano ya kimataifa ya CAF. 


3. Anachukua nafasi ya mshambuliaji wetu Bright Adjei ambaye tumemtoa kwa mkopo kwenda Klabu ya Aduana Stars ya nchini Ghana.


4. Ni mchezaji wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Kenya na mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Kenya msimu uliopita 2022/23.


5. Amevunja rekodi iliyodumu kwa takribani miaka 47 kwa kumaliza msimu akiwa amefunga magoli 27. Rekodi hiyo iliwekwa na mchezaji Moris Sonyi wa Gor Mahia ambaye alimaliza msimu akiwa na magoli 26 mwaka 1976. 


THE RECORD BREAKER 🙌
 

Post a Comment

0 Comments