Hot Posts

6/recent/ticker-posts

LIONEL MESSI AMSIFIA MKE WAKE HADHARANI


Leo Messi:

"Antonella ni mama mzuri, ninamheshimu sana. Anakaa masaa 24 kwa siku na watoto huku mimi nikitumia muda mwingi kwaajili ya safari za mbali na nyumbani nikiwa na klabu pamoja na timu ya taifa"

"Wakati mwingine sionekani nyumbani kwa kipindi cha mwezi mzima lakini anakaa hapa siku zote na wanangu."

#sokaonlineupdates

 

Post a Comment

0 Comments