JUA: Neymar na Richarlson ni marafiki sana na wenye utani mwingi lakini cha ajabu na cha kushangaza Neymar haamini kipaji cha Richarlson kabisa (Neymar anaamini Richarlson sio mchezaji ni muhuni tu au Msela),
kUMBUKA: Kama unakumbuka kombe la dunia lililopita (la mjini Qatar) Richarlson alibahatika kufunga goli kali dhidi ya Serbia, kama unavyojua ushangiliaji wa Richarlson huwa ni fujo nyingi miksa kuvua jersey,
LOVE: Issue sio kuvua Jersey issue ni kwamba kwenye mgongo wa Richarlson kuna tattoo kubwa 3 zenye sura za watu; sura ya kwanza ni Ronaldo de Lima,sura ya pili Richarlson mwenyewe, sura ya tatu ni ya mshikaji wake Neymar,
Kwa kipindi chote iyo Neymar hakujua kuwa mshikaji wake amechora tattoo halafu kuna sura yake,baada ya World cup Neymar sindo akasanuka bana!
APPRECIATION: Kama unavyojua mtu akichora tattoo halafu akaweka picha yako ni ishara tosha kuwa ana anakubari uwezo wako na wewe ambae umechorwa lazima Ukubari kilichofanyika.
NO LOVE: Baada siku kadhaa mbele Neymar akaamua kumtumia Richarlson £26,000 na kumwambia Richarlson
"Naomba ufute tattoo ya sura yangu kwenye mgongo wako na nimekutumia hela kabisa".
Kwa kifupi Neymar anamuona Richarlson kiwango hata kidogo.
Mpaka muda huu hatujui kama tattoo ilifutwa au laa!. Ila kwa akili za Richarlson hela kashakula ila najua akifunga hatovua tena shati 🙈
0 Comments