Timu mbili zenye makombe mengi zaidi pale EPL ,Liverpool na Man United wamefanya usajili wao wa mwisho mwisho wa dirisha la usajili
✍🏻Ryan Gravenberch : kiungo ametua Liverpool kwa dau la Euro Milioni 40 pa
moja na ongezeko la Euro Milioni 5 kutoka Bayern Munich
moja na ongezeko la Euro Milioni 5 kutoka Bayern Munich
✍🏻Sergio Reguilon : beki wa kushoto ametua Man United kwa mkopo kutoka Spurs
Source : @fabriziorom
0 Comments