NBCPL | FULLTIME
Simba 3-0 Coastal
⚽️ 6’ 11’ 40’ Baleke
Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa ,aina ya timu zilizokutana na aina yao ya mchezo ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona .
Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia
0 Comments