Hot Posts

6/recent/ticker-posts

SOMA MAGAZETI YA MICHEZO NCHINI ZAMBIA KUHUSU SIMBA NA POWER DYNAMO



Vichwa vya habari vya magazeti ya Zambia kuelekea mechi dhidi ya Simba SC Jumamosi 


Picha ya juu 

Bwalya Gives Power Dynamos tips on how to beat Simba SC.


Gazeti limeandika kuwa Larry Bwalya amewapa Power Dynamos siri/mbinu za namna ya kuifunga Simba SC.


PICHA YA PILI.

Go get them MAGAZETI YA MICHEZO ZAMBIA KUHUSU SIMBA SC.


PICHA YA KWANZA.

- Bwalya Gives Power Dynamos tips on how to beat Simba SC.- Gazeti limeandika kuwa Larry Bwalya amewapa Power Dynamos siri/mbinu za namna ya kuifunga Simba SC.


Picha ya pili

.

- Go get them boys- Chipepo. - Gazeti limeandika kuwa kocha mkuu wa Power Dynamos Mwenya Chipepo anataka kuimaliza mechi ya jumamosi dhidi ya Simba SC kuimaliza hapa nyumbani kwao Ndola kabla ya kusafiri kwenda Dar Es Salaam, Kocha Chipepo pia amesema anaifahamu Simba SC ni timu ngumu Afrika kwenye miaka kumi mfululizo na wana uzoefu mkubwa kwenye mashindano ya CAF Champions League.- Chipepo


Gazeti limeandika kuwa kocha mkuu wa Power Dynamos Mwenya Chipepo anataka kuimaliza mechi ya jumamosi dhidi ya Simba SC kuimaliza hapa nyumbani kwao Ndola kabla ya kusafiri kwenda Dar Es Salaam, Kocha Chipepo pia amesema anaifahamu Simba SC ni timu ngumu Afrika kwenye miaka kumi mfululizo na wana uzoefu mkubwa kwenye mashindano ya CAF Champions League.

Post a Comment

0 Comments