YANGA VS AZAM FC KUKUPIGA OCTOBER 22.
Kutokana na maboresho yaliyofanywa na bodi ya ligi TPLB, mchezo wa Dar Es Salaam Dabi kati ya Yanga SC dhidi ya Azam FC utapigwa October 22, siku ya jumapili. Yanga SC baada ya mchezo dhidi ya Azam FC, atacheza October 26 dhidi ya Singida FG FC na November 5 atacheza dhidi ya Simba SC, Kariakoo Dabi.
Azam FC wao baada ya Yanga SC, atacheza October 27, dhidi ya Namungo FC na November 1, atacheza dhidi ya Mashujaa FC, Ugenini Kigoma. Simba SC kwa mujibu wa ratiba illyofanyiwa maboresho atacheza dhidi ya Al Ahly October 20, atacheza tena October 24 na Al Ahly mchezo wa marudiano baada ya hapo anaisubiri Kariakoo Dabi November 5.
0 Comments