Hot Posts

6/recent/ticker-posts

Yanga Princess wamuuza kiungo wao wa Ushambuliaji


Kiungo mshambuliaji raia wa Burundi Aniella Uwimana amejiunga na klab ya Fountain Gate Princess ya Dodoma akitokea Yanga Princess aliyoitimikia Kwa misimu mitatu Kisha wakaachana naye.

Msimu ujao ataonekana katika jezi ya timu yake mpya ya Fountain Gate Princess yenye maskani yake jijini Dodoma akijiunga akiwa mchezaji huru.

 

Post a Comment

0 Comments