🛑TUMPE PONGEZI ZAKE🛑
Rais wa shirikisho la soka nchini TFF, bwana wallacekaria pamoja na Uongozi wake amefanya kazi kubwa sana kwenye Uongozi wao jamani Tumpe Pongezi zake 👏.
✅Taifa Stars Afcon X2
✅Tff inaaminika na Serikali, Caf pia na FIFA
✅Soka la Wanawake limekuwa kwa asilimia kubwa Sana Nchini
✅Ngazi ya vilabu Simba & Yanga vimefanya vizuri sana kimataifa ndani ya miaka yake
✅Soka la vijana limekuwa sana mashindano yapo kila ngazi
✅ Sponsorship imeongeza kwa zaidi ya asilimia đź’Ż
-Nbc primier League
-Azam sponsorship
-Nbc Championship
🎯NI MENGI SANA AMEFANYA TUMPE PONGEZI ZAKE🙏🏽🙏🏽.
Hongera Rais wa Mpira Tanzania Wallace Karia
0 Comments